Wenye pesa huwaga hawalewi pombe

Wenye pesa huwaga hawalewi pombe

Namba 26

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2018
Posts
309
Reaction score
918
Wenye pesa wanakulaga tungi balaa lakini hawalewagi utakuta mtu anakunywa bia hata kumi anaishia kutingisha miguu tu uku stori za apa na pale zikiendelea sasa njoo kwa wale choka mbaya akipiga bia mbili tu kero kwa wengine.

Alafu wenye pesa wanarizikaga na bia wakipiga bia mbili uyo anaenda zake ila wale choka mbaya akipiga bia mbili anapata arosto ya bia apo ataweka bondi hata simu aendelee kunywa bia.
 
Choka mbaya huwa hana uhakika kama kesho atazipata ni ngumu umwambie alidhike.
 
Masikini wenzangu Sasa..lazima walewe tikatika wakikosa bia hata gongo watakunywa.
 
Nani huyo kakudanganya?[emoji1787]
Ili ukamchambe! Simtaji.. ila hata mi nimejionea! Hakukosea yule Bata aliekwambia "atakaekuoa ......" Malizia hapo..🤣🤣

Sasa hapo nakusaidiaje ledada..?
 
Huu ujinga nimefanya sana,
Nakua sionekani kama nipo chakali, ila mimi nakua naona kabisa hapa nimezidisha, hadi macho yanaisha nguvu japo akili hua inabaki stable.

Hiyo stage huwa natamani mtu aniuzie kata pombe, nikate zote nirudi normal niendelee na kazi zangu za kujenga Taifa.
 
Masikini wenzangu Sasa..lazima walewe tikatika wakikosa bia hata gongo watakunywa.
Wanzuki na ulanzi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
🤣🤣🤣🤣 Umenikumbusha juzi tu nilikuwa lituhi Basi huo ulanzi na wanzuki ulivyonywewa hatariii
 
Ili ukamchambe! Simtaji.. ila hata mi nimejionea! Hakukosea yule Bata aliekwambia "atakaekuoa ......" Malizia hapo..🤣🤣

Sasa hapo nakusaidiaje ledada..?
🤣🤣🤣🤣🤣uliyoyaona au unayoyaona sio sahihi🤣

Msaada wa kifedha my brother
 
Wenye pesa wanakulaga tungi balaa lakini hawalewagi utakuta mtu anakunywa bia hata kumi anaishia kutingisha miguu tu uku stori za apa na pale zikiendelea sasa njoo kwa wale choka mbaya akipiga bia mbili tu kero kwa wengine.

Alafu wenye pesa wanarizikaga na bia wakipiga bia mbili uyo anaenda zake ila wale choka mbaya akipiga bia mbili anapata arosto ya bia apo ataweka bondi hata simu aendelee kunywa bia.
Wazee wa hennesy tujuane
 
Back
Top Bottom