Namba 26
JF-Expert Member
- Oct 15, 2018
- 309
- 918
Wenye pesa wanakulaga tungi balaa lakini hawalewagi utakuta mtu anakunywa bia hata kumi anaishia kutingisha miguu tu uku stori za apa na pale zikiendelea sasa njoo kwa wale choka mbaya akipiga bia mbili tu kero kwa wengine.
Alafu wenye pesa wanarizikaga na bia wakipiga bia mbili uyo anaenda zake ila wale choka mbaya akipiga bia mbili anapata arosto ya bia apo ataweka bondi hata simu aendelee kunywa bia.
Alafu wenye pesa wanarizikaga na bia wakipiga bia mbili uyo anaenda zake ila wale choka mbaya akipiga bia mbili anapata arosto ya bia apo ataweka bondi hata simu aendelee kunywa bia.