Wenye Pesa Mnaitwa: Mnada wa Number Plate Special za Magari kufanyika tar 5 April

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
26,961
Reaction score
77,890
Kuna taasisi inayojihusisha na mambo ya minada, ikishirikia na TRA Tanzania wamekuja na mnada wa namba za magari special kumi na 7 watakazo ziuza Tar 05 April.

Kushirikia namba moja ni Pesa ya Kitanzania Million 15, kwahiyo bei ya namba husika itategemea na jina au uhutaji wa namba.

Baadhi ya majina ni MASAKI, TEMBO, NYATI, NDOVU, KAHAWA, SWAHILI, FARU nk.

Kilichonishangaza ni ili jina la SAFARI kwasababu naona limeshachukuliwa na wale wakali wa seat za kushonea Safari Upholstery.

All in all kila lakheri. Siwezi uziwa jina Mil 15 wakati bei yake ni Mil 5.
 
Harmo awahi anunue ya tembo
 
Watapewa na hadhi nyingine?labda kutolipia parking au kuoata hadhi ya VIP, Mfano maeneo ya airports etc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…