Mwanadiplomasia Mahiri
JF-Expert Member
- Nov 4, 2019
- 491
- 1,907
Vp Mwili bado uko kwa Wazee!!??Ngoja tuu scan kwanza huu mwili wa ndugu yetu tujue kama kuna hanker kahusika!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukisikia jitu limetua chini huko " puuuu " kama roba la pumba usiniulize[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Vp Mwili bado uko kwa Wazee!!??
Haya wale mliopo huko Rondo Chipota tunaomba mturushie picha za huko kijijini Rondo ili Watanzania wanyonge tuweze kujifunza kitu.
Natanguliza shukrani zangu
Tumia browserHamna haja maana sisi wa jf app hazifunguki!
Siku zote mnatuasa tujifunze kwa waliofanikiwaUnataka ujifunze nini?