Wenye Simba SC yao na Wazee kama hawa Waliojitolea Jasho na damu walalamike halafu utegemee Kufanikiwa? Thubutu yako. Utalaanika tu

Wenye Simba SC yao na Wazee kama hawa Waliojitolea Jasho na damu walalamike halafu utegemee Kufanikiwa? Thubutu yako. Utalaanika tu

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
“Lazima mabadiliko yapatikane sio kuivunja tu Bodi ya Wakurugenzi, bali hata wachezaji kwa sasa hivi hawako watu wanaoweza kuiendeleza ile klabu, klabu imekuwa na mambo na kiubinafsi, hawathamini watu sio mimi tu tupo wengi ambao tulipoteza ujana wetu kuitumikia Simba” Abdallah Kibadeni Maarufu kama King Kibadeni, Gwiji wa Simba SC.

Na nadhani pia mmemsikia Leo Mzee mwingine Hamis Kilomoni juu ya kile alichokisema. Yaani ni Malaana tu SSC Ok?

Chanzo: SR Sports Tz

Na hapo bado tena na Laana zangu GENTAMYCINE ambaye mwaka 2012 ilikuwa niitoe Roho Kuipambania Simba SC.
 
Kwani huyo Mzee Hamis Kilomoni anasemaje? Atakuwa tayari sasa kumkabidhi mwekezaji ile hati ya jengo, baada ya kuinunua timu kwa bilioni 20?
 
Mzee Hassan Dalali anatosha!

Screenshot_20240611_231445_Chrome.jpg
 
Back
Top Bottom