dolevaby
JF-Expert Member
- Aug 25, 2013
- 12,958
- 9,516
Nakushukuru sana kwa Taarifa kiongozi Nitaifuatilia then nione itakavyokuwa....Vinginevyo usinichoke nikika kuuliza tenaDagaa,tumia certificate of origin ya TCCIA kule wanajali sana mambo ya COMESA na SADC