Wenye tabia hizi tazama hapa madhara yake

Wenye tabia hizi tazama hapa madhara yake

Brother njoo huku CoeT kuna bonge la zali mkuu yaaani masela wawili wanapigana kisa demu aseeeeeeeee tupo tuna chabo tuu maneno kibao yanarushwa na ngumi juuu.
 
Acha ukorofi, kwani wewe hujambi? Tena wewe unaweza kuta ni wale wanaojamba kama nyani
 
Aiseee hapa nilipo nimeboreka sana

Kuna dada tupo tunafanya group discussion lakini cha ajabu kaachia ushuzi bila hata kuona haya yani kama vile hakijatokea kitu

Nimeshindwa kuvumilia kwa kweli imenibidi nije chonjo nije kumuanzishia mada kwa kweli

Kama harufu ya ushuzi ningeweza kuirecord ninge record halafu ningewatumia, yani unanuka balaaa

Aaaaaargh ,wenye tabia hizi muache jamani mnakera ukisikia ushuzi umekubana nenda chooni ujambe tani yako au laah nenda pembeni uuachie bila kuleta bugudha yoyote kwa wengine
,bila hivyo mtaaibika siku moja
Wewe mtoa mada naona hiyo shule unayosoma bado haijakusaidia kabisa, bora uombe/uache shule mara moja. Coz sitegemei m2 anajiita msomi halafu analeta mada za kishilawadu hapa kwenye jukwaa la watu wasomi na wenye hoja maridhawa. Wewe badala ya kumpa pole unaleta porojo hapa? Kwani wewe hujambi? Kweli nyani haoni kaliole (kundule)
 
nimpe pole kisa kajamba?
 
Back
Top Bottom