ufumawicha
JF-Expert Member
- Mar 16, 2014
- 504
- 209
Wanajf mimi nasumbuliwa na macho kwa muda mrefu.Yanawasha mara kwa mara na ni mekundu.Nimefika mpaka CCBRT wakanipima na kusema yamejaa vumbi ila kwa madawa waliyonipa wakadai yatanisaidia sasa ni mwaka wa 8 bado mambo ni magumu.Kwa mliowahi kupata matatizo kama haya na mkapona tupeane uzoefu na kusaidiana.