kitokololoo JF-Expert Member Joined Nov 26, 2018 Posts 704 Reaction score 818 Jun 2, 2019 #1 Hahahahaha.
Bulaya001 JF-Expert Member Joined Dec 21, 2018 Posts 5,987 Reaction score 6,682 Jun 3, 2019 #2 una nini lakini wewe? tecno zikifungwa mimi na wengi tulio humu jukwaani, hautatuona[emoji854][emoji854][emoji849]
una nini lakini wewe? tecno zikifungwa mimi na wengi tulio humu jukwaani, hautatuona[emoji854][emoji854][emoji849]
stickvibration JF-Expert Member Joined Feb 7, 2017 Posts 3,226 Reaction score 5,147 Jun 3, 2019 #3 Ngoja waje mkuu,jiandae kwa povu[emoji1321]♂️
Mkuu wa Kibiti JF-Expert Member Joined Sep 7, 2017 Posts 776 Reaction score 1,136 Jun 3, 2019 #4 Nayo matanga yataisha tu na tutazoea wapenzi wapya.Ila tecno ndio mkombozi wetu tusio na hobbie wala njuluku za kununua iphone x na sumsang galax edge sie na tecno ukitutoka tutakulilia kama viroba og na dada zake kina valuu
Nayo matanga yataisha tu na tutazoea wapenzi wapya.Ila tecno ndio mkombozi wetu tusio na hobbie wala njuluku za kununua iphone x na sumsang galax edge sie na tecno ukitutoka tutakulilia kama viroba og na dada zake kina valuu