Ni bachelor of education in language and management kifupi belm.ndani yake utasoma kiswahili na English language pia utasoma education management yote kuanzia mwaka wa kwanza mpaka mwaka wa tatu.
Kama ilivyo kwa elimu yetu programme inakuandaa kuwa Mwalimu wa masomo husika na pia kufanya kazi katika utawala wa elimu maeneo kama wizarani kuwa Mwalimu mkaguzi na maeneo yote ya utawala wa elimu.
Kujiajiri ni ujasiri wako bila kutegemea umesoma nini kwa hiyo ina knowledge nzuri tu kukuwezesha kujiajiri.