Mbayo wa Giika
JF-Expert Member
- Apr 9, 2014
- 205
- 107
Wanajukwaa naombeni msaada kwa wenye uelewa na hii course inayotelewa Mzumbe. Content yake ni ipi, inaweza kumsaidia muhitimu kujiajiri au anaenda kuwa mwalimu? Inakuwa applicable kwenye nyanja ipi? NATANGULIZA SHUKRANI!