Akili Biyengo
Member
- Aug 17, 2023
- 13
- 10
Ndugu zangu mliowahi kusoma, wenye uelewa na ufahamu mnisaidie kozi ipi inalipa sana na ajira bora kati ya Marine & Refrigration engineering na water suppy & sanitation engineering.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndugu zangu mliowahi kusoma, wenye uelewa na ufahamu mnisaidie kozi ipi inalipa sana na ajira bora kati ya Marine & Refrigration engineering na water suppy & sanitation engineering.
Water supply and sanitation engineering. Ila ukisoma water and irrigation engineering au civil Engineering itakua Bomba sana.Ndugu zangu mliowahi kusoma, wenye uelewa na ufahamu mnisaidie kozi ipi inalipa sana na ajira bora kati ya Marine & Refrigration engineering na water suppy & sanitation engineering.
Hizo ni nzuri hasa ya hiyo ya water!Ndugu zangu mliowahi kusoma, wenye uelewa na ufahamu mnisaidie kozi ipi inalipa sana na ajira bora kati ya Marine & Refrigration engineering na water suppy & sanitation engineering.
Sanitation wapo wachache, na wengi wao hawako competent.Water supply and sanitation engineering. Ila ukisoma water and irrigation engineering au civil Engineering itakua Bomba sana.