Hiyo ndiyo mapungufu ya CHADEMA, kila anayeiponda CCM nyie mnamuona mwema. Hivi kwa mfano akigeuka na kuanza kumsifia Samia, mtaweka wapi nyuso zenu.Naona kuna kundi kubwa la chawa wanaanzisha threads kibao AGAINST pOLEPOLE. Dawa yao ni kuzi ignore. HAKUNA KITU KINAUMWA KAMA MTU KUWA IGNORED!
Polepole anachokifanya kiungwe mkono. hata kama nyuma alifanya yasiyopendeza, kwa hili tumuuunge mkono kwa vile anapigana kuondoa udhalimu!
Humu mitandaoni sio ofisi za cdm, sasa uposema cdm unaonekana juha tu.Hiyo ndiyo mapungufu ya CHADEMA, kila anayeiponda CCM nyie mnamuona mwema. Hivi kwa mfano akigeuka na kuanza kumsifia Samia, mtaweka wapi nyuso zenu.
Wenzenu wanatakatisha fedha nyinyi mnatakatisha wahalifu. It's weird and totally absurd
Mnasubiri November ya nini!?Ni vyema msishiriki jambo lolote linalohusu uchaguzi. Then mapema November tunafanya sherehe.
Hapo ndipo mtajiona hamnazo
Mimi Kila anayeleta post za namna hiyo hiyo anakublock mwenyeweNaona kuna kundi kubwa la chawa wanaanzisha threads kibao AGAINST POLEPOLE. Dawa yao ni kuzi ignore. HAKUNA KITU KINAUMWA KAMA MTU KUWA IGNORED!
Polepole anachokifanya kiungwe mkono. hata kama nyuma alifanya yasiyopendeza, kwa hili tumuuunge mkono kwa vile anapigana kuondoa udhalimu!
there you are!Hizo id nyingiii joined august 22, itakua zimekuja kwa kazi maalum ya kumjibu hp
Chadema inahusika vipi hapa? Chawa wa Samia mkisikia tu Chadema viharage vyenu vunatemaHiyo ndiyo mapungufu ya CHADEMA, kila anayeiponda CCM nyie mnamuona mwema. Hivi kwa mfano akigeuka na kuanza kumsifia Samia, mtaweka wapi nyuso zenu.
Wenzenu wanatakatisha fedha nyinyi mnatakatisha wahalifu. It's weird and totally absurd
Juha utakuwa ni wewe ambaye huna uwezo wa kusoma mwandiko wa mtu na kutambua itikadi yake.Humu mitandaoni sio ofisi za cdm, sasa uposema cdm unaonekana juha tu.
Shauri yako wewe kiharage chako ulikeketwa na wazazi wako!Chadema inahusika vipi hapa? Chawa wa Samia mkisikia tu Chadema viharage vyenu vunatema
Na yote kwa sababu alisema ni member wa jf piaHizo id nyingiii joined august 22, itakua zimekuja kwa kazi maalum ya kumjibu hp
SawaNaona kuna kundi kubwa la chawa wanaanzisha threads kibao AGAINST POLEPOLE. Dawa yao ni kuzi ignore. HAKUNA KITU KINAUMWA KAMA MTU KUWA IGNORED!
Polepole anachokifanya kiungwe mkono. hata kama nyuma alifanya yasiyopendeza, kwa hili tumuuunge mkono kwa vile anapigana kuondoa udhalimu!
Inasikitisha sanaWatu siyo wajinga.
Mr. Polepole, kaeleweka ila tatizo ni ni wale anaowapigania ndiyo panya.
Hujawahi kuandika kitu cha maana. Samahani lakiniHiyo ndiyo mapungufu ya CHADEMA, kila anayeiponda CCM nyie mnamuona mwema. Hivi kwa mfano akigeuka na kuanza kumsifia Samia, mtaweka wapi nyuso zenu.
Wenzenu wanatakatisha fedha nyinyi mnatakatisha wahalifu. It's weird and totally absurd