Wenye uzalendo wa kweli, msijibu threads zinapomponda Polepole, naona zinamiminika. Just ignore them with no response

Wenye uzalendo wa kweli, msijibu threads zinapomponda Polepole, naona zinamiminika. Just ignore them with no response

Hiyo ndiyo mapungufu ya CHADEMA, kila anayeiponda CCM nyie mnamuona mwema. Hivi kwa mfano akigeuka na kuanza kumsifia Samia, mtaweka wapi nyuso zenu.

Wenzenu wanatakatisha fedha nyinyi mnatakatisha wahalifu. It's weird and totally absurd
Hawamuoni kuwa ni mwema just get it in your head, matendo/maneno ya wakati huu yako kwenye right track hivyo yanasapotiwa kwa nguvu zote.
The enemy of your enemy is definitely your friend, that's how it works. Kwa sasa yuko kwenye mapambano sahihi hivyo ni ku-join naye hivi vita dhidi ya majambazi wahuni/mafisadi papa kadri itakavyobidi.

NB: Si kila anayeunga mkono harakati za Polepole au anayepambana na ufisadi wa Rostam, JK, Samia na timu yote ya mafisadi papa wana mtandao yuko affiliated na CHADEMA.
 
Naona kuna kundi kubwa la chawa wanaanzisha threads kibao AGAINST POLEPOLE. Dawa yao ni kuzi ignore. HAKUNA KITU KINAUMWA KAMA MTU KUWA IGNORED!

Polepole anachokifanya kiungwe mkono. hata kama nyuma alifanya yasiyopendeza, kwa hili tumuuunge mkono kwa vile anapigana kuondoa udhalimu!
🚮🚮

Ugonjwa wa chuki na umaskini haujawahi kuwa na tiba
 
Naona kuna kundi kubwa la chawa wanaanzisha threads kibao AGAINST POLEPOLE. Dawa yao ni kuzi ignore. HAKUNA KITU KINAUMWA KAMA MTU KUWA IGNORED!

Polepole anachokifanya kiungwe mkono. hata kama nyuma alifanya yasiyopendeza, kwa hili tumuuunge mkono kwa vile anapigana kuondoa udhalimu!
Naunga mkono hoja,ifanyike kama challenge ile ya Mshana
 
Hakuna ku-ignore mjadala hapa jamvini.

Wewe mwenyewe hatukususa pumba zako wakati ule unaleta threads 100 kwa siku kumchawia Mbowe humu kuelekea uchaguzi ndani ya CDM.

Ulikuwa unatukera hivihivi.
 
Hiyo ndiyo mapungufu ya CHADEMA, kila anayeiponda CCM nyie mnamuona mwema. Hivi kwa mfano akigeuka na kuanza kumsifia Samia, mtaweka wapi nyuso zenu.

Wenzenu wanatakatisha fedha nyinyi mnatakatisha wahalifu. It's weird and totally absurd
Elewa ndugu, Mh. Polepole haipondi CCM ila anaishauri na kwa Hakika anaisaidia isikubali kupokwa mamlaka yake na watu wachache wanaolinda maslahi yao. Tatizo ni kama hawataki kushauriwa.
 
Juha utakuwa ni wewe ambaye huna uwezo wa kusoma mwandiko wa mtu na kutambua itikadi yake.
Ndio chama? Maana chama ni vikao na sio hizi porojo za humu jf.
 
Hizo id nyingiii joined august 22, itakua zimekuja kwa kazi maalum ya kumjibu hp


IMG_20250902_121329.jpg


Mologolo hizi ndiyo ID zenu pendwa?
 
Inabidi wajibiwe tu, maana wanaweza shawishi wengine , na pia story za polepole lazima zibalansiwe
 
Elewa ndugu, Mh. Polepole haipondi CCM ila anaishauri na kwa Hakika anaisaidia isikubali kupokwa mamlaka yake na watu wachache wanaolinda maslahi yao. Tatizo ni kama hawataki kushauriwa.
Polepole siyo mwanchama wa CCM na wala hajwahi kuwa mwanachama. Ni Magufuli alimuajiri kuwa Katibu wa Itikadi na uenezi. Kwa siyo hana capacity ya kuishauri CCM
 
Naona kuna kundi kubwa la chawa wanaanzisha threads kibao AGAINST POLEPOLE. The majority wamejiunga 22/8/2025 Dawa yao ni kuzi ignore. HAKUNA KITU KINAUMWA KAMA MTU KUWA IGNORED!

Polepole anachokifanya kiungwe mkono. hata kama nyuma alifanya yasiyopendeza, kwa hili tumuuunge mkono kwa vile anapigana kuondoa udhalimu!
Huwa si comment nyuzi za maccm hawa wa networks
 
Back
Top Bottom