Wenye uzalendo wa kweli, msijibu threads zinapomponda Polepole, naona zinamiminika. Just ignore them with no response

pole pole mwehu yule
 
Hiyo ndiyo mapungufu ya CHADEMA, kila anayeiponda CCM nyie mnamuona mwema. Hivi kwa mfano akigeuka na kuanza kumsifia Samia, mtaweka wapi nyuso zenu.

Wenzenu wanatakatisha fedha nyinyi mnatakatisha wahalifu. It's weird and totally absurd
Wewe punguani hakunaga adui wa kudumu, usiishi kwa kukariri
 
Polepole mwenyewe dhalim. Period.
 
Sawa
Sawa
 
Umesema kweli tupu
 
Hivi mandate ya kujibu watu ipo kwa member wa zamani tu? Narrow minded! Tutajibu tu, na mwisoni tuakua expart kama nyie.

Kwani hata kusalimiwa huwa hampendi?



Ila uongo mbaya, umeandika kwa uchungu sana Ponjoro!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…