Kivule
JF-Expert Member
- Nov 29, 2012
- 639
- 662
Habari wadau, kuna mdogo angu kachaguliwa chuo fulani na mkopo kapata 80% ila anataka kubadili kozi na kozi anayotaka kuhamia wamechukuliwa mwisho wenye cut off point 8.5 na yeye ana cut off point 7, je kuna uwezekano wa kufanikiwa kubadili kozi???????