Wenye uzoefu msaada

Wenye uzoefu msaada

Kivule

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2012
Posts
639
Reaction score
662
Habari wadau, kuna mdogo angu kachaguliwa chuo fulani na mkopo kapata 80% ila anataka kubadili kozi na kozi anayotaka kuhamia wamechukuliwa mwisho wenye cut off point 8.5 na yeye ana cut off point 7, je kuna uwezekano wa kufanikiwa kubadili kozi???????
 
Haiwezekani, ukitaka kuhama course lazima uwe na cut off point kubwa kuliko minimum requiement
 
mkuu ata kama kuna nafasi na walioomba kuhamia iyo kozi wako wachache afu nafasi zipo?????
 
Back
Top Bottom