Mtumwa wa Bwana
Member
- Apr 20, 2021
- 13
- 15
Habari zenu waheshimiwa.Leo nimeona tangazo la kuitwa watu kwenye usaili NHC & TPC kupitia utumishi kama ilivyo kwenye document niliyo attachment hapo chini , MimiBinafsi niliomba nafasi ya Systems Administrator shirika la NHC ila kwenye kuitwa kwenye sahili Systems Administrator haipo kwahiyo tuliyoomba hatujaitwa, sasa nauliza inamaana ndio imetoka iyo au kuna watu kwenye kazi data wameshajaza nafasi au wanaweza kuja kutuita baadaye ? kwa wenye uzoefu naomba msaada maana ndiyo mara yangu ya kwanza ku_apply kupitia utumishi, Asanteni sana.