Wenye uzoefu na Jaguar (XF na XE)

Jaguar ni moja ya nagari imara, nimeishatumia kwa wakati flani, ni gari nzuri sana, zina nguvu mwendo ni mwake.. ila spare parts zake kidogo zinamtihani kwa ndani, itabidi uagize dubai ndio cheap kidogo
Kama title invyojielezea nataka nijichange nichukue jaguar naomba wenye uzoefu na hio gari
 
wa kupuliza bro hebu mpe experience yako huyu mkuu
Nimeshaendesha X-type mkuu na tatizo lake kubwa lilikua Ni transfer case,kwa ujumla hayo Ni magari ya kununua ukiwa kwny miji mikubwa Dar,Arusha,Mwz etc ambako angalau Kuna dealers/mafundi wenye vifaa vya kisasa.

Kuna mwana ana XJ Naona analitumia kwenda nalo church tu, maana Kuna kipindi liliwahi kuzingua jasho lilimtoka(Anaishi Arusha).

So ajilipue tu Kama analipenda
 
Lazima mleta mada amepata mwanga!!
Asante mkuu..
 

Ahsante kwa mawazo Mkuu
 
Unapendelea zile za mzungu (old) au za Mhindi Tata?

Jaguar ni moja ya gari ghali kwa kuzihudumia asikuambie mtu
Kama ni mpya kabisa service zake sio kubwa ila zikizidi 10 years mbona utaikimbia
Na kosa usije gonga au kugongana spare zake OG ni moto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…