Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Tatizo bei.Hizi gari Nairobi ni nyingi sana sijui kwanini huku watu hawazinunui.
Zinauzwa bei kubwa sana?Tatizo bei.
hiyo haina piston ni rotary engineNaomba kujuzwa matatizo ya Mazda Rx 8 kwa anyejua, nimevutiwa na hizi gari na nataka kununua lakini ni lazima nijue shida zake kwanza nisije ugua presha.