Wenye uzoefu na mazda rx 8

Wenye uzoefu na mazda rx 8

Countrywide

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2015
Posts
20,694
Reaction score
32,527
Naomba kujuzwa matatizo ya Mazda Rx 8 kwa anyejua, nimevutiwa na hizi gari na nataka kununua lakini ni lazima nijue shida zake kwanza nisije ugua presha.
 
NDUGU hiv Gari nasikia zikifika km flani hiv Unatakiwa ubadilishe engine Afu nasikia aina piston kibongo bongo aifai Mzee baba
 
Hizi gari Nairobi ni nyingi sana sijui kwanini huku watu hawazinunui.
 
Naomba kujuzwa matatizo ya Mazda Rx 8 kwa anyejua, nimevutiwa na hizi gari na nataka kununua lakini ni lazima nijue shida zake kwanza nisije ugua presha.
hiyo haina piston ni rotary engine
sonkila baada ya km 100000 utabadili engine else utazoeana na mafundi sana..

Ni CC 1300 lakini bado wese linashuka kama limeagizwa na OPEC sababu ni rotary engine

Ni gari nzuri kwa kweli kama ukiitunza vizuri service yake usisubiri ifikishe km 3000 hata zikiwa buku au buku na bati we fanyia service.

Spear zake karibia zote ni za kuagiza kuanzia plugs etc.
 
Back
Top Bottom