Stiffler88
Senior Member
- Apr 23, 2017
- 158
- 504
Baada ya chuo, kama kijana naona wakati nikiendelea kutafuta kazi nifanye biashara ya Uber/ Bolt.
Sasa wenye uzoefu Naomba wanijuze nn cha kufanya ukiwa unaanza, faida na hasara na pia changamoto za hii kazi. Maana nmeskia kuna ambao wana-make na ambao wanakua loss.. Pia namna nzuri ya ku jitune upige hela kwenye hii business.
Me nakaa Kigamboni kwa uzoefu wangu sijawai kua na access na Uber au Bolt pande hizi. Na sijajua n kwa sababu gani au ni Wingo wa bajaj, so nawaza nianze huku kwanza au.