Wenye vigari vidogo someni hapa!!

Hpo mwenye vitis nyondo zilimuisha analeta nyodo wakati kuna watu wanatembelea Hammer, Vogue na magari ya kifahari mengine na hawana nyodo jamaa alikoma ubishii.
 
Jamani mtu si mtu ametoa chake kibomu akijua kuwa ni kichekesho sasa nyinyi mnakerwa na nini? acheni hizo bwana
sa kama haichekeshi ce 2fanyaje zaidi ya kumwambia ukweli kuwa ha2jacheka.
 
Mimi nakubaliana kabisa na mleta mada. Kwanini uweke gari alarm wakati ulipo kaa unaliona? Usumbufu bana, hata kama m2 una TZ 11, Uki activate alarm Bar tena mchana unakera.

TZ 11 unaijua mkuu?..............................Au pia inaitwa Bob Marley!
 
Kuzarau cha mwenzako hata kama ni kidogo sio uungwana...................lakini naye alionyesha nyodo mno ndio mana wakamjibu kizarau.
 
Nenda miji ya France na Italy ukajionee mwenyewe, hizo gari unazoita 'baby walker' ndio usafiri wa watu wengi, na wanazipenda kwasababu ya fuel economy. Lakini huku kwetu pamoja na uchumi wetu huu dhaifu tunajisifu kuwa na VX V8 Turbo, unategemea nini hapo.
 
umenichekesha sana, hop hata uyo aliyemwambia mwenzie ana baby walker ye atakuwa na bajaj lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…