Wenye Vipasso Tumwage Povu Letu Hapa

Marumeso

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2009
Posts
1,410
Reaction score
1,325
Binafsi nakerwa sana na huu mtindo wa awa walinzi wetu wa barabara wanavyobuni vimakosa visiyoeleweka kila kukicha ili mradi tu ipatikane sababu ya kudaka mtu.

Majuzi nimevuka zangu kwne zebra nyeupe nafika mbele jamaa kachomoza ananambia "Mama Angalia Kuleeeee Unamwona Yule Ostazi Yuleeee" sikujisumbua kuangalia kwa sababu nilishajua kinachotafutwa hapo.

Tunajua mnatageti lakini msitufanyie hivo sio poa kabisa.
 



Mtoa hoja naomba urudie kuisoma hoja yako,ukiielewa naomba unitag,ahsante.
 
Mi naona siku Gari zote zigomee barabaran Tumechoka na hawa jamaa
 
Kama wewe ni Ke hicho kipaso ni halali yako cha kuendea Sokoni na kwenye Kitchen party lakini dume kumiliki kipaso ni aibu na fedhea kubwa sana.
 
Ngoja waje wenye bodaboda watachangia maana vipasso ni sawa na pkpk tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…