Marumeso
JF-Expert Member
- Oct 3, 2009
- 1,410
- 1,325
Binafsi nakerwa sana na huu mtindo wa awa walinzi wetu wa barabara wanavyobuni vimakosa visiyoeleweka kila kukicha ili mradi tu ipatikane sababu ya kudaka mtu.
Majuzi nimevuka zangu kwne zebra nyeupe nafika mbele jamaa kachomoza ananambia "Mama Angalia Kuleeeee Unamwona Yule Ostazi Yuleeee" sikujisumbua kuangalia kwa sababu nilishajua kinachotafutwa hapo.
Tunajua mnatageti lakini msitufanyie hivo sio poa kabisa.