Wenye vitambi kutaneni hapa

Dah! Yani mimi ndiyo mwenyewe kabisa mwenye kitambi.
 
mtu anayetaka kupunguza kitambi atumie maji ya uvuguvugu yaliyokamuliwa limao na asali mbichi kiasi atumie asubuhi kabla hajala kitu chochote na usiku kabla hajalala.
 
Unaweza kufuata njia hizi,kwangu siku zote zimefanikiwa kwangu.
-Kunywa maji ya moto asubuhi changanya na ndimu glass kubwa
-Chai yako achana kabisa na chakula cha wanga na sukari isahau,soda acha kabisa ,hata coke diet
-Chai waweza kula protein kama mayai,sosage,bagia za kunde,dagaa,samaki,supu ya nyama isiyo na mafuta
-Mchana usile kabisa wali wala ugali,kula tu protein,mayai ya kukaanga,mboga,nyama isiyo na mafuta,maharage,ndizi
-Usiku usile kabisa chakula cha aina yoyote ya wanga
-Beer isahau kabisa
-Jitahidi kuwa na mazoea ya kutembea,kupanda ngazi badala ya lift
-Ukiweza kufanya mazoezi ya kunyanyua vyuma kdg,au push up itasaidia kupungua haraka kwani unatumia nguvu nyingi

hapo usipopungua unayo shida,epuka kukaa njaa,kula chakula sahihi.

Karanga pia ni snacks nzuri iwapo una njaa

Kila la heri
 
Wazo.. Wekeni group ili muungane vip.....
 
Dr kanyas mtaalamu wa mitishamba ..anatibu maradhi yote pia ana dawa kwa ajili kutoa kitambi na kupunguza unene....pia ana dawa kwa ajili ya nguvu za kiume na kurefusha uume....mtafute kipitia 0744069527
 
kweli kaka hapo umeongeakitu cha msingi mi nilishaanzaga mazoez kitambo na sasa nimepunguza kitambi kwa asilimia 60% mazoezn ya kukata tumbo pamoja n pushup 100 kila asubuh na 100 kila jioni.
Aliyekuambia push-ups zinaondoa kitambi ni nani...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…