Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,482
- 27,182
Dah! Yani mimi ndiyo mwenyewe kabisa mwenye kitambi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio mimi mkuu.Kwani wewe kweli ndie makaveli maana nijuavyo mimi makaveli alishakufaga
Hhahahahaaa atakuwa yule komba mboga.. RIPWewe utakua ni mrithi wa yule jamaa aliekua anaimbia chama flani
Mkuu ukiwa na kitambi six packs zinahamia kwenye makalio, tukalio tunakuwa tudoooogooo!!Wengine mambo ya six packs tulisha kubali matokeo tu. [emoji23][emoji23]
Mkuu afadhali yako mimi hata kupiga Makofi siwezi hua inanibudi nipigie kwa nyuma hahaha
Wazo.. Wekeni group ili muungane vip.....Habarini wadau. Nimeona nianzishe uzi huu ili kusaidia wanaume na wanawake wenye tatizo la kitambi yaani tumbo kubwa lenye mafta mafta ili muweze kushauriana namna yakukipunguza kama sio kukitokomeza kabisa kama dengue. Hebu shaurianeni hapa ili kuboresha afya ......
Haibiwi Mtu Hapa Tushawazoweya NyinyiDr kanyas mtaalamu wa mitishamba ..anatibu maradhi yote pia ana dawa kwa ajili kutoa kitambi na kupunguza unene....pia ana dawa kwa ajili ya nguvu za kiume na kurefusha uume....mtafute kipitia 0744069527
Aliyekuambia push-ups zinaondoa kitambi ni nani...kweli kaka hapo umeongeakitu cha msingi mi nilishaanzaga mazoez kitambo na sasa nimepunguza kitambi kwa asilimia 60% mazoezn ya kukata tumbo pamoja n pushup 100 kila asubuh na 100 kila jioni.