permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 11,682
- 14,241
Kumbe ni wezi mkuuHaibiwi Mtu Hapa Tushawazoweya Nyinyi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sasa c anakuwa km zombi aseeMkuu ukiwa na kitambi six packs zinahamia kwenye makalio, tukalio tunakuwa tudoooogooo!!
asipopungua hapo inabidi aende kwa gwajima kwa njia ya maombi.maana hamna namna sasaUnaweza kufuata njia hizi,kwangu siku zote zimefanikiwa kwangu.
-Kunywa maji ya moto asubuhi changanya na ndimu glass kubwa
-Chai yako achana kabisa na chakula cha wanga na sukari isahau,soda acha kabisa ,hata coke diet
-Chai waweza kula protein kama mayai,sosage,bagia za kunde,dagaa,samaki,supu ya nyama isiyo na mafuta
-Mchana usile kabisa wali wala ugali,kula tu protein,mayai ya kukaanga,mboga,nyama isiyo na mafuta,maharage,ndizi
-Usiku usile kabisa chakula cha aina yoyote ya wanga
-Beer isahau kabisa
-Jitahidi kuwa na mazoea ya kutembea,kupanda ngazi badala ya lift
-Ukiweza kufanya mazoezi ya kunyanyua vyuma kdg,au push up itasaidia kupungua haraka kwani unatumia nguvu nyingi
hapo usipopungua unayo shida,epuka kukaa njaa,kula chakula sahihi.
Karanga pia ni snacks nzuri iwapo una njaa
Kila la heri
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀 big timeMkuu ukiwa na kitambi six packs zinahamia kwenye makalio, tukalio tunakuwa tudoooogooo!!
Mwanzo nilianza kama utani nili download application moja hivi playstore ya kuhusu diet nikawa naifuata ndani ya wiki tatu nilianza kuona matokeo nikajiunga na gym moja mjini nikawa jioni naenda nafanya maerobics na mazoezi mengine ndani ya miezi nane sina kitambi kabisaaa ila chamsingi ni ulaji jiwekee limit katika ulaji kumbukakuwa YOU ARE WHAT YOU EAT. Mdomo ni kitu kidogo sana lakini ndio nlkinaweza kukufanya uonekane kituko
Mkuu huna sababu ya kutumia pesa wala kwenda gym.fanya zoezi la kutembea harakaharaka kwa nusu saa tu kwa siku 5 kwa wiki ndani ya wiki 4 halafu jipime kwa kamba au uzito utagundua umepingua km utahisi huwezi tafuta vidonge vinaitwa GELATINMkuu application gani hiyo ya diet na gym ulikuwa unalipa pesa ngap
Hongera mamito ila angalia sasa kitambi kisikusumbueAisee em ngoja niazime kioo!
Tatizo la hawa ma docta ukimtembelea unakuta nae ana kitambi kimemuelemea mpaka hawezi hata kuamka kukukaribisha amechoka kama likua anajifunza mbinu za medaniDr kanyas mtaalamu wa mitishamba ..anatibu maradhi yote pia ana dawa kwa ajili kutoa kitambi na kupunguza unene....pia ana dawa kwa ajili ya nguvu za kiume na kurefusha uume....mtafute kipitia 0744069527
mi ni tofauti ni slim but strongTatizo la hawa ma docta ukimtembelea unakuta nae ana kitambi kimemuelemea mpaka hawezi hata kuamka kukukaribisha amechoka kama likua anajifunza mbinu za medani
hahaaaa kweli mkuu wengine ni majanga anaekushauri anakuwa tofauti na uhalisia wa ushauri anaokupatiaUnakuta docta anakitambi mpaka unajiona wewe ndio docta unatakiwa umpe ushauri yeye