Wenye vitambi kutaneni hapa

Wenye vitambi kutaneni hapa

Afu kadiri kitambi kinavyoongezeka ndivyo ukubwa wa dushe unazidi kupungua.
 
Kitu cha msingi ni Diet,na Mazoezi.Tafuta mayai ya kienyeji uwe unayachemsha unakula Kutwa x 3,Asubuh 1,Mchana 1,Jion 1.
Unashushia Na Chai ya Rangi iliyotiwa Limao.
Kula Sana mboga za majani na Matunda.Usipendelee sana Vyakula vya Wanga na Sukari.
 
Unaweza kufuata njia hizi,kwangu siku zote zimefanikiwa kwangu.
-Kunywa maji ya moto asubuhi changanya na ndimu glass kubwa
-Chai yako achana kabisa na chakula cha wanga na sukari isahau,soda acha kabisa ,hata coke diet
-Chai waweza kula protein kama mayai,sosage,bagia za kunde,dagaa,samaki,supu ya nyama isiyo na mafuta
-Mchana usile kabisa wali wala ugali,kula tu protein,mayai ya kukaanga,mboga,nyama isiyo na mafuta,maharage,ndizi
-Usiku usile kabisa chakula cha aina yoyote ya wanga
-Beer isahau kabisa
-Jitahidi kuwa na mazoea ya kutembea,kupanda ngazi badala ya lift
-Ukiweza kufanya mazoezi ya kunyanyua vyuma kdg,au push up itasaidia kupungua haraka kwani unatumia nguvu nyingi

hapo usipopungua unayo shida,epuka kukaa njaa,kula chakula sahihi.

Karanga pia ni snacks nzuri iwapo una njaa

Kila la heri
asipopungua hapo inabidi aende kwa gwajima kwa njia ya maombi.maana hamna namna sasa
 
Mwanzo nilianza kama utani nili download application moja hivi playstore ya kuhusu diet nikawa naifuata ndani ya wiki tatu nilianza kuona matokeo nikajiunga na gym moja mjini nikawa jioni naenda nafanya maerobics na mazoezi mengine ndani ya miezi nane sina kitambi kabisaaa ila chamsingi ni ulaji jiwekee limit katika ulaji kumbukakuwa YOU ARE WHAT YOU EAT. Mdomo ni kitu kidogo sana lakini ndio nlkinaweza kukufanya uonekane kituko

Mkuu application gani hiyo ya diet na gym ulikuwa unalipa pesa ngap
 
Mkuu application gani hiyo ya diet na gym ulikuwa unalipa pesa ngap
Mkuu huna sababu ya kutumia pesa wala kwenda gym.fanya zoezi la kutembea harakaharaka kwa nusu saa tu kwa siku 5 kwa wiki ndani ya wiki 4 halafu jipime kwa kamba au uzito utagundua umepingua km utahisi huwezi tafuta vidonge vinaitwa GELATIN
 
Dr kanyas mtaalamu wa mitishamba ..anatibu maradhi yote pia ana dawa kwa ajili kutoa kitambi na kupunguza unene....pia ana dawa kwa ajili ya nguvu za kiume na kurefusha uume....mtafute kipitia 0744069527
Tatizo la hawa ma docta ukimtembelea unakuta nae ana kitambi kimemuelemea mpaka hawezi hata kuamka kukukaribisha amechoka kama likua anajifunza mbinu za medani
 
Tatizo la hawa ma docta ukimtembelea unakuta nae ana kitambi kimemuelemea mpaka hawezi hata kuamka kukukaribisha amechoka kama likua anajifunza mbinu za medani
mi ni tofauti ni slim but strong
 
mkuu ze big mi si daktari bali nilikuwa muathirika wa kitambi na nundu lakini nilipata mtaalamu wa ukweli akanishauri cha kufanya ambacho kwa uchache nimeshiriki kukiandika
 
Kuna wakati unatamani kiishe....kuna wakati unaona ngoja nikipunguze kuna wakati unaona famililai cha muhimu ni kuumudu mwili wako na mazoezi mepesi ya kupata pumzi na stamina na kuna wakati unaona bora kibaki yote haya yako mikononi mwako ukitaka kiondoke kinaondoka na ukitaka kibaki kinabaki😉
 
Back
Top Bottom