Wenye vitambi tukutane hapa

Wenye vitambi tukutane hapa

Socw

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2016
Posts
1,329
Reaction score
2,644
Tuelezane faida na changamoto tunazokutana nazo kila siku.

Mimi Nina mwaka wa tatu sijawahi kuona dushe yangu kwa kuangalia kwa macho yangu hivi hivi maana kitambi kiaiziba. Mara zote huwa naiona kupitia kioo.

Wewe je!!?
 
Hahahahahaha shubamiiit hsha haha nimecheka kweli daaah

Mi kiasi ninacho ila nakomaa na mazoezi so naki maintain kinabaki kwa mbaliiii sana .
 
Naona wengi humu wanautapia mlo ila wanajificha kwenye kichaka cha vitambi
 
Tuelezane faida na changamoto tunazokutana nazo kila siku.

Mimi Nina mwaka wa tatu sijawahi kuona dushe yangu kwa kuangalia kwa macho yangu hivi hivi maana kitambi kiaiziba. Mara zote huwa naiona kupitia kioo.

Wewe je!!?
Hamna faida ya kitambi, acha kujipa moyo!!
Misery loves company.
 
Nachoelewa kitambi sio jambo la kujivunia japokuwa wa nje wanakusifia kina HASARA NYINGI KULIKO FAIDA
 
Swali la kizushi kidogo
Ni kweli mlio na vtambi .. uwa mnashndwa kugegeda vzur?
 
duuh ha ha mzee kama unashindwa kuona mashine yako unaweza kugegeda kweli?
 
Hahahahahahha vitambi vinabeba dhamana ya utapia mlo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom