Ng'wanangwa
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 10,827
- 4,176
Kheri tukae giza but no to Dowans
bro unaongea nini bana.sisi tunataka umeme hata utoke kwenye makalio ya fisi it is ok provided kwamba tunapata umeme sawa mazee .mijitu mingine bana kwanini waweka chuki kwenye mitambo it just show u have reached a no return point in your frustration jifunze kinachoendelea misri once the peace go u cant return it .endeleeni kujidaganya MTAJUTA
Wenye viwanda vipi mbona havitajwi au ni vya JK, EL na RA? Watanzania tutaendelea kucheza hii kamali na hawa walafi hadi lini?
Serikali ambayo inajali ingetaifisha hivyo vimashine kwa manufaa ya umma kwa kuliingiza taifa hasara ambayo haiwezi kulipwa kwa namna yoyote ile. RA na EL wafunguliwe mashitaka ya kulihujumu taifa.
Bungeni kuna mgawo? Ama ni hapo Dar tu?
kwa hiyo wao hawana haki ya kuwa na viwanda WE VIPI? ongea point.
Hasara gani? Ama waongea kama tape recorder?hujui usemacho.vitaifishwe? REALY?kwa nini?hebu nipe sababu ama unatype tu
How?bro unaongea nini bana.sisi tunataka umeme hata utoke kwenye makalio ya fisi it is ok provided kwamba tunapata umeme sawa mazee .mijitu mingine bana kwanini waweka chuki kwenye mitambo it just show u have reached a no return point in your frustration jifunze kinachoendelea misri once the peace go u cant return it .endeleeni kujidaganya MTAJUTA