Wenye Viwanda Wataka Mitambo ya Dowans Iwashwe

Ng'wanangwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2010
Posts
10,827
Reaction score
4,176
Ni wale waliofunga viwanda vyao kutokana na mgawo wa umeme.

haya wanajamvi: chukua akili zako. za mbayuwayu. changanya pamoja.

source: tbc1
 
Nimesikiliza pia upupu huo. Kuna mchezo mchafu hapa unaendelea, kiharufu chake kwa mbali nakisikia
 
Hiyo mitambo iwashe kwa mkataba hupi?

Au tuikodi tena nini?, Uzuri Dowans si kampuni ya mfukoni tena (by ICC)!

Tunatakiwa kufukuza watendaji wakuu wa Tanesco na wizara kwanza kwa ukosefu wa Vision!
 
kwa nini rates za DOWANS kuiuzia umeme TANESCO bei yake ni chini kulinganisha na other sources of power i.e songas,aggreko,iptl?
 
Kheri tukae giza but no to Dowans

bro unaongea nini bana.sisi tunataka umeme hata utoke kwenye makalio ya fisi it is ok provided kwamba tunapata umeme sawa mazee .mijitu mingine bana kwanini waweka chuki kwenye mitambo it just show u have reached a no return point in your frustration jifunze kinachoendelea misri once the peace go u cant return it .endeleeni kujidaganya MTAJUTA
 
Wenye viwanda vipi mbona havitajwi au ni vya JK, EL na RA? Watanzania tutaendelea kucheza hii kamali na hawa walafi hadi lini?

Serikali ambayo inajali ingetaifisha hivyo vimashine kwa manufaa ya umma kwa kuliingiza taifa hasara ambayo haiwezi kulipwa kwa namna yoyote ile. RA na EL wafunguliwe mashitaka ya kulihujumu taifa.
 
watu wanacheza na saikologi za watu. wanataka kuhakikisha shida ya umeme inawakalia kisawasawa watu halafu lijinga limoja litapendekeza mbona tuna mitambo hapa inazagazagaa kwanini tusiiwashe. huo utakuwa ndo mwanzo wa kuharalisha vilivyokuwa haramu 9zingekuwa pesa haramu tungesema ndo mwanzo wa kuzisafisha na kuingizwa katika mfumo rasmi).
 
Eti kwa nini rate yao iko chini .hiyo nayo ni sababu ya kuuliza.nimeamini mabwege wako wengi hii nchi
 
bro unaongea nini bana.sisi tunataka umeme hata utoke kwenye makalio ya fisi it is ok provided kwamba tunapata umeme sawa mazee .mijitu mingine bana kwanini waweka chuki kwenye mitambo it just show u have reached a no return point in your frustration jifunze kinachoendelea misri once the peace go u cant return it .endeleeni kujidaganya MTAJUTA

Bungeni kuna mgawo? Ama ni hapo Dar tu?
 
Wenye viwanda vipi mbona havitajwi au ni vya JK, EL na RA? Watanzania tutaendelea kucheza hii kamali na hawa walafi hadi lini?

Serikali ambayo inajali ingetaifisha hivyo vimashine kwa manufaa ya umma kwa kuliingiza taifa hasara ambayo haiwezi kulipwa kwa namna yoyote ile. RA na EL wafunguliwe mashitaka ya kulihujumu taifa.

kwa hiyo wao hawana haki ya kuwa na viwanda WE VIPI? ongea point.
Hasara gani? Ama waongea kama tape recorder?hujui usemacho.vitaifishwe? REALY?kwa nini?hebu nipe sababu ama unatype tu
 
Hivi unafahamu maadili ya uongozi wewe ama umekurupushwa. Kama huwezi kuona hasara ambayo imepatikana kuanzia Richmonduli sijui nikusaidie vipi.

BTW huo unazi ulionao peleka pale Magogoni ambapo siku hizi mmefanya ni pa kuchezea upatu. Time has come and you gonner cry like a small baby.
 
Si kuna siku wamepanga watu waandamane? Siku hiyo mtoke kweli na tuandamane wote.

Kama hamtaki, basi acha giza lipete........
 
bro unaongea nini bana.sisi tunataka umeme hata utoke kwenye makalio ya fisi it is ok provided kwamba tunapata umeme sawa mazee .mijitu mingine bana kwanini waweka chuki kwenye mitambo it just show u have reached a no return point in your frustration jifunze kinachoendelea misri once the peace go u cant return it .endeleeni kujidaganya MTAJUTA
How?
 
Back
Top Bottom