Zuriel_cfc
JF-Expert Member
- Nov 2, 2017
- 4,092
- 9,063
Kazi kweli kweli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmhhhh sijaliona mbonaNshawahibu sasa!mwatakaje?
Doooooohh haya , kwan sio kikohoz?? Tutajua tu km wanafamiliaJibu ni hapana[emoji3] [emoji3] [emoji2]
Nimelike na kuqote ili kuonyesha kwamba sijanuna moyo wangu mweupeeeee[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji108] [emoji108] shosti dalili za mwanzo za kununiwa;
Ukimkoti hareply hata iweje!hakike comments zako wala thread zako hagusi wakati mwanzo mlikua okay vyote vinafanyika!![emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Raynavero mkorofiiiiVipi shosti yashakukutaaa[emoji2] [emoji2] [emoji2] halafu nahisi [emoji15] [emoji15] kuna mtu kanichuniaa humu!
Ngoja niende kumkoti nione[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Na nyie mnaboa kukitembeza kwa kila member mpaka basi! Jaribu kupunguza kudanga mpaka mnagombea wanaume aibuAmani iwe nanyi wapendwa!
Wake kwa waume mlio jf,iwe MMU au jukwaa lingine lolote humu ndani wapenzi,wachumba na wake zao au mahusiano yoyote yanayopelekea hisia za ndani ya mwanadamu,tafadhilini punguzeni wivu[emoji108] [emoji85] [emoji85] [emoji85] kwa wenza wenu!
Kumbuka ulimpata jf sasa tafadhali vumilia tu anapochat na wanajf wenziwe kwa kua hawa kwa sasa ni kama mashemeji,mawifi,wakwe au majirani.
Wengine mnaendelea mbali zaidi mpk mkiona wapenzi wenu wanataniana na members basi mnakasirika na kuwachunia hao memba kimtindo;mfano akikukoti haumkomti,akikumention unambechua(unampotezea),hulike wala kudislike thread chochote!
Wengine wale wasio na uvumilivu tena wakiona wenza wao kama ni wanaume wana mazoea na member humu basi ugomvi hauishi wanakufata mpk PM kukushambulia zaidi.
Sasa wanandugu wivu wa nini wakati umemkuta hapa,mkatongozana hapa(PM),mkakubaliana mkafanya yenu!iweje uumie akichat na watu wa hapa sasa!
Sasa kila mwenye mpenzi akisema asichat tena si jf itapotea au amsha amsha itapungua![emoji13] [emoji13] [emoji13]
Wenye wapenzi wenu tafadhalini hebu mjiamini bwanaaa[emoji57] [emoji57] [emoji57]ukiona wa kwako anakula wengi humu basi jua huyo kicheche wa asili mpotezee na ukiona analiwa na wengi basi ni kahaba tu hata kitaa huko hivyo hvyo!
NB;Mupambane na hali zenu tu hakuna namnaa [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]!
Daaahhh alafu nimekuPm ...habar za siku ingi ?Kazi kweli kweli
Tushirikishane hiyo lugha tafadhali....nina wivu hadi kwa wifi...[emoji6][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Oooppsss nakuelewa mama [emoji23][emoji23][emoji1][emoji8]Nimelike na kuqote ili kuonyesha kwamba sijanuna moyo wangu mweupeeeee[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wiiii nakupenda leo kesho hadi mtondogoo...[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]Hebu muambie tena kuwa nampenda na nitamlinda kama wiwo ake...
Kwakweli[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] mwenyewe
Ahhahaahaaa...wifi umetishaaTushirikishane hiyo lugha tafadhali....nina wivu hadi kwa wifi...[emoji6]
Huhuhu nilikua namkaribisha chakula cha jion km wanafamilia baby [emoji8][emoji122]Tushirikishane hiyo lugha tafadhali....nina wivu hadi kwa wifi...[emoji6]
Nimemsikia wifi yangu...mwambiemo nampendamo pia.
Aaahhhh wapi hahaha ipo siku maji yatamwagika...tena yaleeee yanayovutikaaaa[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] mtaishia kuotea otea tu