Wenye wabebz JF msiwe mnatuchunia tukiwa tunachat nao humu JF

Pole sana ukisika Po jua.......
Wala sijawahi Shea na mtu humu na sijaja kudanga nimekujibu kama ulivyojenga hojaa!

Si kila mwana jf wa kike kaja kudanga au kuchat +kufahamiana na watu ndiyo kudanga!!

Na sijawahi gombana na mtu humu kisa bwana!
Samahani kaka nakuheshimu,tuheshimiane umeshindwa nipitee!
Samahani sana kama nimekukwaza
 
Una macho mno na ww khaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Jamani si zilikuwa kengere zile na bora umetoa mpendwa wako alishasema hataki kukuona
 
Thread hii hapendezi kwa kukosa angalau mfano was mmojawapo hahaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…