Wenye wabebz JF msiwe mnatuchunia tukiwa tunachat nao humu JF

Mm bwana ubebishane tu na mbebez wangu wala sikununii na mpango wa kukununia sina tutaendeea kucheka tu vizuri hivi utanunia wanawake wangapi humu jamani mm nadili tu na mbebez wangu yaani yeye ndio atajua mbivu na mbichi
 
[emoji3] hii ndo akili hii!maana miye sijui kama X ni mbeb wa Z sasa ntanunia wangapi?!!!pambana na bebi wako tu
 
Hahahaaaa

Portable nabeba nakuzungusha chumba kizima, sasa ole wako unogewe ujisahau udake pangaboi litakujeruhi[emoji23] [emoji23]
Sifatiliagi ujue[emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mm bwana ubebishane tu na mbebez wangu wala sikununii na mpango wa kukununia sina tutaendeea kucheka tu vizuri hivi utanunia wanawake wangapi humu jamani mm nadili tu na mbebez wangu yaani yeye ndio atajua mbivu na mbichi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Unaongea na mm au unaongea na mpendwa wako au unaongea na simu
 
Mm bwana ubebishane tu na mbebez wangu wala sikununii na mpango wa kukununia sina tutaendeea kucheka tu vizuri hivi utanunia wanawake wangapi humu jamani mm nadili tu na mbebez wangu yaani yeye ndio atajua mbivu na mbichi
Yaani shosti mm sikuwahi kujua kama kuna watu wananuniana humu kisa kuchati na mabezi wao....
 
Back
Top Bottom