Wenye wabebz JF msiwe mnatuchunia tukiwa tunachat nao humu JF

Mwenyewe mm muhanga wa kununiwa shost acha tu mm kwakweli nadili na mbebez wangu tu huo mda wa kumnunia mwanamke mwenzangu sinaga aisee hasira zao zote za kubebishana sijui nitazimalizia kwake
Kama nakuona vile na hasira zako umemkalia Davet unakuna nazi hadi umekunjia ndita usoni, [emoji2] [emoji2] Sema tu usije ukajisahau ukanyonga unaweza nyofoa kbs
 
Kama nakuona vile na hasira zako umemkalia Davet unakuna nazi hadi umekunjia ndita usoni, [emoji2] [emoji2] Sema tu usije ukajisahau ukanyonga unaweza nyofoa kbs
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] anachezea makonziiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…