D
Deleted member 485868
Guest
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] chizi wehHilo wizoooooo ni jina la jamaa yangu yupo dar
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] chizi wehHilo wizoooooo ni jina la jamaa yangu yupo dar
Kama nakuona vile na hasira zako umemkalia Davet unakuna nazi hadi umekunjia ndita usoni, [emoji2] [emoji2] Sema tu usije ukajisahau ukanyonga unaweza nyofoa kbsMwenyewe mm muhanga wa kununiwa shost acha tu mm kwakweli nadili na mbebez wangu tu huo mda wa kumnunia mwanamke mwenzangu sinaga aisee hasira zao zote za kubebishana sijui nitazimalizia kwake
Nitaje mm na fukani....hahaaaaaaHuntakii memaa
Sichagui majembe mimi[emoji3] [emoji3]Shoga Niko kwenye diet hapa nafunga mpk usiku,naenda kutafuta corset fastaa nirudi size 0
Nyama pendwaNyama pendwa zipo nyingi ila ikuje mbuzi
IndeedAre foolish[emoji23]
Picha si nimekuwekea ukaikataa weeeewe!Ebu weka picha
Namwamini Mungu tu binadamu nawapenda basIs only I'd not heart, feelings or characters!!
Binadamu ni wale wale!na wapo waliofika mbali kwenye mahusiano humu wengi tena!
Things are real here!watu wanakulana kikweliii[emoji3] na wivu wanaoneana
Weeeeeee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usinijutishe tafadhaliiiUtajua mwenyewee[emoji3] [emoji3] [emoji23]
Duh! Ni ujinga wa hali ya juu ..siwezi jinunisha kisa bebe anachat na mwngne uwiiiiMwenyewe mm muhanga wa kununiwa shost acha tu mm kwakweli nadili na mbebez wangu tu huo mda wa kumnunia mwanamke mwenzangu sinaga aisee hasira zao zote za kubebishana sijui nitazimalizia kwake
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] anachezea makonziiiiKama nakuona vile na hasira zako umemkalia Davet unakuna nazi hadi umekunjia ndita usoni, [emoji2] [emoji2] Sema tu usije ukajisahau ukanyonga unaweza nyofoa kbs
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ndiwooooooo mm sidili na mwanamke mwenzangu yaani wala simuonyeshei tofauti yoyote nitanunia wangapi mie
Nakazia wiiAre foolish[emoji23]
Nikikubeba hutofaidiNataka na mm kubebwa sasa