Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
The Don vipiiii!!!njoo nkunnulie mishkaki kesho basi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Don unasikia matusi hayo
Leo nazungumzia mambo ya kikanisa pekee... tafazali!Babu vipi,ngapi ngapi?!![emoji14] [emoji14] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Thanks bebee ake namie.. True love comes with jealous in it,, they sayYou are such a beautiful and very understanding lovely young lady...
Though times unajawaga na wivu mpaka nabaki kifurahi mwenyewe...
Kaone kwanza kalivyo kazuri...
Sawa mkuu.... Ngoja aje nimwambiekuna huyu mzee mnamwita babu Asprin humu ndani akija naombeni mumpe onyo naona siku hizi analike like post za mama watoto wangu.
nimeshamreport kwa mods lakini wapo upande wake. sitaki vita na mtu. mjulisheni na mfahamisheni sitaki utani.
nitamvunja taya.
Avatar na Maneno yako vinaendanaNikweli mkuu, ndiomaana naona kama shuzi limepata mjambaji.... tehteehhh
Dadaangu hujambo?Wivu wivu wivu
Sawa mzee lakini kuna RB yako kutoka Kwa DabyLeo nazungumzia mambo ya kikanisa pekee... tafazali!
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Lakini wengine tunakuwa mwana kuyataka mwana kuyakosa!!!Tena nakuonea masikini bila sababu kwani huyo mbebez alishikwa mkono kubebishwa mwana kuyataka mwana kuyapata
Mh[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Lakini wengine tunakuwa mwana kuyataka mwana kuyakosa!!!
Ahahahahahahhahahakuna huyu mzee mnamwita babu Asprin humu ndani akija naombeni mumpe onyo naona siku hizi analike like post za mama watoto wangu.
nimeshamreport kwa mods lakini wapo upande wake. sitaki vita na mtu. mjulisheni na mfahamisheni sitaki utani.
nitamvunja taya.
Shikamoo kakaDadaangu hujambo?
UkanitosaYamenikuta mie,ila jf bana ukiwa upo stable kichwani hata hayakusumbui,ila dish likiyumba utaweweseka balaa