Wenye wabebz JF msiwe mnatuchunia tukiwa tunachat nao humu JF

Sawa mkuu.... Ngoja aje nimwambie
 
Tena nakuonea masikini bila sababu kwani huyo mbebez alishikwa mkono kubebishwa mwana kuyataka mwana kuyapata
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Lakini wengine tunakuwa mwana kuyataka mwana kuyakosa!!!
 
Ahahahahahahhahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…