Sasa kama kaibwa nifanye nini mie namtafuta mbebez mwingine[emoji23] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] ila wewee!huogopi kutafuta mwingine!
Niko na Mr x wamulike sasa kama watampata[emoji23] [emoji6] [emoji23] [emoji1] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mr.X jamanii!watu wammulika tu tochi shaurilo
Huyo wamfunga speed gavana asiibiwe maana jf nako kama vyuoni vile ukizubaa umeibiwa!!
Huyo mpk passwords yapasa uzimiliki
Ngoja nianze ufukunyuku wangu nionr@Mzigua eeehh
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yashakukuta kumbee! Pole sana!
Hamna amu wala hata sikusemi wewe na wala sijui nini kinaendelea kwako!ila ishu nyingine kabisaa tu!Halafu najua utakuwa umehadithiwa,umekuja kama vile kunisema mie geni,kuacha siachi na yeye hawezi acha mapenzi yao yametukuta bana,mtu fake id unapaparika simple tu kafungua ingine ile kakuacha nayo uhangaike nayo shoga,siku wanawake tukipata akili matatizo yote duniani yataisha
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Niko busy na mbebez wangu badae kidogo [emoji41][emoji41][emoji41][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] bwana wwww!
[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji6] mashauzi!!!
[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] hovyoooo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huna akili wewe ujue. Ngoja nimuite Davet aoneWaibe tu natafuta mwingine
Naomba ubuyuHamna amu wala hata sikusemi wewe na wala sijui nini kinaendelea kwako!ila ishu nyingine kabisaa tu!
Trust me hili jambo nimelizungumza kwa kua limenitokea mie mwenyewe ujue
Wanawake bwana ndo wanaongoza kwa wivu wa kijinga humu. Na vile kufungua Id ni bure ukimmind bby kuquotiana na mzigua anafungua Id ingine tunaquotiana tena kama kawa kama dawa yaaani.Halafu najua utakuwa umehadithiwa,umekuja kama vile kunisema mie geni,kuacha siachi na yeye hawezi acha mapenzi yao yametukuta bana,mtu fake id unapaparika simple tu kafungua ingine ile kakuacha nayo uhangaike nayo shoga,siku wanawake tukipata akili matatizo yote duniani yataisha
Hamna amu wala hata sikusemi wewe na wala sijui nini kinaendelea kwako!ila ishu nyingine kabisaa tu!
Trust me hili jambo nimelizungumza kwa kua limenitokea mie mwenyewe ujue
Wanawake bwana ndo wanaongoza kwa wivu wa kijinga humu. Na vile kufungua Id ni bure ukimmind bby kuquotiana na mzigua anafungua Id ingine tunaquotiana tena kama kawa kama dawa yaaani.