Wenye wabebz JF msiwe mnatuchunia tukiwa tunachat nao humu JF

Wanawake bwana ndo wanaongoza kwa wivu wa kijinga humu. Na vile kufungua Id ni bure ukimmind bby kuquotiana na mzigua anafungua Id ingine tunaquotiana tena kama kawa kama dawa yaaani.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ole wako umkoti bebi wangi!!! Ntakuzibuaaa kwa mineno
 
Haki mzigua wewe chizi ujue,halafu nimegundua humu ndani kumbe hizo couple zinakulana kweli kweli,zamani ilikuwa chit chat tu ila kumbe sikuhizi kwelikweli,imebidi niwe makini na post
Tunakulana amu jamani ujue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…