Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ole wako umkoti bebi wangi!!! Ntakuzibuaaa kwa minenoWanawake bwana ndo wanaongoza kwa wivu wa kijinga humu. Na vile kufungua Id ni bure ukimmind bby kuquotiana na mzigua anafungua Id ingine tunaquotiana tena kama kawa kama dawa yaaani.
Hivi niliandikwa nini kwani wakunyumba nimesahau jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huna akili wewe ujue. Ngoja nimuite Davet aone
Tunakulana amu jamani ujueHaki mzigua wewe chizi ujue,halafu nimegundua humu ndani kumbe hizo couple zinakulana kweli kweli,zamani ilikuwa chit chat tu ila kumbe sikuhizi kwelikweli,imebidi niwe makini na post
Shoga mumewe aache sasa miye simtaki nna wangu nampenda kufaaa!!!
Namkoti namaliza wala habari sina!
Unazuga ulichoandika[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]
Tunakulana amu jamani ujue
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kwani kushoboka ndio nn bana mm sinaga shida kabisa mtu anayeshoboka na mbebez wangu mm nadili nae mbebez wangu tuBora Uniupdate,maana kuna wanaume nlikuwa nawashoboke nsije nkapigwa kipapai
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kweli dada sio ya kucheka jamani[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jamanii
Mfyuuuu!!!!
Mwanamke wa kweli hudeal na mume sio michepuko yake.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kwani kushoboka ndio nn bana mm sinaga shida kabisa mtu anayeshoboka na mbebez wangu mm nadili nae mbebez wangu tu