Wenye wabebz JF msiwe mnatuchunia tukiwa tunachat nao humu JF

Haki mzigua wewe chizi ujue,halafu nimegundua humu ndani kumbe hizo couple zinakulana kweli kweli,zamani ilikuwa chit chat tu ila kumbe sikuhizi kwelikweli,imebidi niwe makini na post
Ooooh. We ishia kuona utani tu. Wenzio wanatafunana kama hawana akili nzuri. We unadhani wivu unatoka wapi sasa kama ni utani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…