Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,342
- 88,625
We nizibue mimi mi nkazibuane viungi vyetu na beb wako. Jeuri mwenzie kusudi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ole wako umkoti bebi wangi!!! Ntakuzibuaaa kwa mineno
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We nizibue mimi mi nkazibuane viungi vyetu na beb wako. Jeuri mwenzie kusudi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ole wako umkoti bebi wangi!!! Ntakuzibuaaa kwa mineno
Hamna wa kukusutaShoga sitaki miyeeee [emoji6] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji108] ntasutwaa
Ooooh. We ishia kuona utani tu. Wenzio wanatafunana kama hawana akili nzuri. We unadhani wivu unatoka wapi sasa kama ni utaniHaki mzigua wewe chizi ujue,halafu nimegundua humu ndani kumbe hizo couple zinakulana kweli kweli,zamani ilikuwa chit chat tu ila kumbe sikuhizi kwelikweli,imebidi niwe makini na post
Ngoja ukodiwe kigodoro kikuchambe ndo utakomaasa gen,umekoma au hujakoma?mimi sijakoma mwenzio
Umeona eenh haya mm nitanunia wangapi jamani shunie mm khaaaa mm nadili na mbebez wangu tuMwanamke wa kweli hudeal na mume sio michepuko yake.
EeehEti...?!!!
Ooooh. We ishia kuona utani tu. Wenzio wanatafunana kama hawana akili nzuri. We unadhani wivu unatoka wapi sasa kama ni utani
Tena nimekumbuka kitu [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Umeona eenh haya mm nitanunia wangapi jamani shunie mm khaaaa mm nadili na mbebez wangu tu
Ngoja ukodiwe kigodoro kikuchambe ndo utakoma
Tena nimekumbuka kitu [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wamshika akashikikaa!!!
Dhambi kumnyima mwenzio kitu unachoSio dhambi kwanzaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mnawaandama wenye ma copo taftq wako upimishie uchungu wake.
Unamnyimaje mtu kitu unacho bana unapata dhambi za bure tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]