Wenye wabebz JF msiwe mnatuchunia tukiwa tunachat nao humu JF

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kwahiyo zako kuokota okota ukikutana nao huko dukani kwa shayo
Hahaha, huwa siwezi okota okota rafiki,MTU na heshima zangu,kwa shayo napiga bia zangu ,tukibadilishana mawazo muda ukifika ni kulala,humu tu siokoti itakua huko?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…