Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Woyooooooo
Mpk moyoni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpk moyoni
Wewee... Shauri yako... Ngoja ajeHapana huyo hana shida hata kidogo
Anakutafutia mazingira muafakaUmeamua kuniuza kama sakayo na wewe bila mwenyewe kutaka
Kwani Kazi ya balozi huijui mjukuu wangu?Balozi wa nn eti
Sikati tamaa mjukuu wanguNa hiyo nafasi huwezi pata
Anakutafutia mazingira muafaka
Kwani Kazi ya balozi huijui mjukuu wangu?
Sikati tamaa mjukuu wangu
Zungu La roho hiloo
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Zungu La roho hiloo
Ya kupata mautamu bila adhaMazingira ya nn
Mabalozi wote ndo kazi yaoKazi ya balozi wa nyumba 10 kusuluhisha mambo
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Mfyuuuuuu
Marhabaa mjukuu wangu... Hujambo wewe?Nimeamka salama babu yake shunie shikamoo
Hahaha, huwa siwezi okota okota rafiki,MTU na heshima zangu,kwa shayo napiga bia zangu ,tukibadilishana mawazo muda ukifika ni kulala,humu tu siokoti itakua huko?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kwahiyo zako kuokota okota ukikutana nao huko dukani kwa shayo
Kwani humu wa kuokota wapo mzee wa ushuani [emoji16][emoji16][emoji16]Hahaha, huwa siwezi okota okota rafiki,MTU na heshima zangu,kwa shayo napiga bia zangu ,tukibadilishana mawazo muda ukifika ni kulala,humu tu siokoti itakua huko?