Wenye wabebz JF msiwe mnatuchunia tukiwa tunachat nao humu JF

Hahaha, huwa siwezi okota okota rafiki,MTU na heshima zangu,kwa shayo napiga bia zangu ,tukibadilishana mawazo muda ukifika ni kulala,humu tu siokoti itakua huko?
[emoji23] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji23] jamani looh!
 
Sakayo kamwambia atume mahela kakimbia sasa si nitakutana na babu na msuli wake na singlend nyeupe na kiti chake cha mbao cha kujilaza cha kupunga upepo babu niache mie
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] we huwataki hao sasa my shuuu!!
 
Ujana wake ale naniiii uzee sasa hivi aje kumsumbua shunie tuchemshiane maji ya moto kwenye kuni mahela yashaisha uko kabaki babu na msuli wake nani anataka hizo shida
Haijalishi ujana kala nani bwanaa!wazee ndo wazuri wanalea haooo!.
Shauri zako
 
M
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…