Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shunie usimfanyie hvyo mwenzio bwanaa babu kakuelewaa[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji2] [emoji2]
Acha hizo weweee[emoji2] [emoji2] [emoji3] [emoji108] [emoji108]
Kumbe mwajuana eehh!
Kumbe makapuku kuna mambo mazuri eeeh
Kuiba sio dhambi[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji125]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] we huwataki hao sasa my shuuu!!Sakayo kamwambia atume mahela kakimbia sasa si nitakutana na babu na msuli wake na singlend nyeupe na kiti chake cha mbao cha kujilaza cha kupunga upepo babu niache mie
Haijalishi ujana kala nani bwanaa!wazee ndo wazuri wanalea haooo!.Ujana wake ale naniiii uzee sasa hivi aje kumsumbua shunie tuchemshiane maji ya moto kwenye kuni mahela yashaisha uko kabaki babu na msuli wake nani anataka hizo shida
kuna huyu mzee mnamwita babu Asprin humu ndani akija naombeni mumpe onyo naona siku hizi analike like post za mama watoto wangu.
nimeshamreport kwa mods lakini wapo upande wake. sitaki vita na mtu. mjulisheni na mfahamisheni sitaki utani.
nitamvunja taya.[/QUOTEQUOTEhahahaha mkuu daby
Mm najua utanii tu. Maana wengi Wanaitana wapenz.Wanakutana,wanatongozana,wanakubaliana,wanafanya mapenzi,wanachumbiana na wengine kuoana!humu humu jf
Huo upepo naomba uvumie upande wangu na mieUtani wapi[emoji23] [emoji23] [emoji23] watu wanakulana kiukweli ukweli humu swaaafi,life linasonga....!!!