Wenye wabebz JF msiwe mnatuchunia tukiwa tunachat nao humu JF

Wenye wabebz JF msiwe mnatuchunia tukiwa tunachat nao humu JF

Wala sijawahi Shea na mtu humu na sijaja kudanga nimekujibu kama ulivyojenga hojaa!

Si kila mwana jf wa kike kaja kudanga au kuchat +kufahamiana na watu ndiyo kudanga!!

Na sijawahi gombana na mtu humu kisa bwana!
Samahani kaka nakuheshimu,tuheshimiane umeshindwa nipitee!
Samahani sana kama nimekukwaza
Mbona povu wakati weye ndiye muanzisha UZI? Jamani ni kosa kuweka maoni yangu?
 
Naomba picha
Shunie Ione na umbea wenu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Niliwaza kwamba Shunie akiiona hii comment ataomba picha
Ndo hapo nakanda ngano[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
IMG_20180526_154606.jpg
 
kuna huyu mzee mnamwita babu Asprin humu ndani akija naombeni mumpe onyo naona siku hizi analike like post za mama watoto wangu.

nimeshamreport kwa mods lakini wapo upande wake. sitaki vita na mtu. mjulisheni na mfahamisheni sitaki utani.

nitamvunja taya.
Hahaaa, ndyo haya haya anayoyaongelea mleta mada [emoji3] [emoji3] ,punguza wivu mkuu
 
Woyooooooooo
Ni vile napenda mapicha picha kama kaka angu bashite [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ila wewee!!!
 
Back
Top Bottom