Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unataka unizowee Jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Babu yake shunie vizuri unanijua mjukuu wako hukawii kunitoa kwenye mood nikakubadirikia
Hujanipa maelezo ya uvumbuzi wako badoWataka nyama babu umung'unye mapengo
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Ng'ombe,mbuzi au kuku!
Si Nimeomba radhi jamaniAkwendreeee uko
Anakimalizaje jamani anabakisha na kesho tenaIla asikimalize tu[emoji3] [emoji3] anakibakisha cha kesho tena!
Unaona eeh? Ngoja mfungo uisheUlichopewa na Mungu kumnyima mwenziwo dhambii[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mzee wa ushuani kwa shayo kupo wazi halafu wewe kwa nini popo jamani hivi huna mkeHaya bibie,vipi Shayo kafunga au yuko macho?
Sawa sawa mjukuu wanguNakazia mie
Nakazia woooooozerHii ni special for someone...!!!
Nikuzowee na nini mieUnataka unizowee Jamani
[emoji3] [emoji2] [emoji2] [emoji3] [emoji3] huu sasa umbea huu!!hana mke![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mzee wa ushuani kwa shayo kupo wazi halafu wewe kwa nini popo jamani hivi huna mke
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Gonga tu msumarii!!
Ndio umeomba radhiSi Nimeomba radhi jamani
Mimi nina kambaku.... Napenda ya kuku... Si unajua tena... Mara kidari..mara paja... Mara paja fupi... Yaani Utamu tuNyama ya ng'ombe babuu